Tusker Project Fame 6,Tanzania imepata kuwakilishwa na washiriki wanne ambao ni Angel, 23 yrs, Hisia 21 yrs, Tanah 21 yrs na Dubson 25yrs, wako kwenye list ya zaidi ya wasanii 15 kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki.
Endelea kufwatilia mashindano haya ili ujue jinsi ya kuwapa support watanzania wenzetu kwenye mashindano hayo.
Monday, October 7, 2013
Washiriki wanne wanaoiwakilisha Tanzania kwenye Tusker Project Fame 6.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Congrats to all.
All the best jaman.
Big up guys
Post a Comment