Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, October 7, 2013

UZINDUZI WA STYLE MPYA YA KIMATAIFA IJUMAA HII NEW MAISHA CLUB DAR

Lile chama kubwa la madeejayz tanzania XTREME DEEJAYZ lenye kuleta mapinduzi makubwa sana katika secta ya burudani tanzania ijumaa hii NEW MAISHA CLUB DAR itazindua rasmi style yao mpya ya kimataifa yakupiga disco na drum. akiongea  na blog hii ya burudani msimamizi mkuu wa xtreme deejayz hemed kavu(hk) alisema uzinduzi utaaanzia NEW MAISHA CLUB DAR,tar 11,10,2013 na kuelekea MTWARA jumamosi hii TAR 12-10-2013. NA wiki inayofuata kwenda MBEYA na DODOMA. Hivyo kwa wale wapenda burudani wakae tayari kupokea maujanja hayo mapya kabisa tanzania.

1 comments:

Anonymous said...

Noma sana!