Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, October 6, 2013

Big Sean Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na Naya Rivera

Big Sean mwenye umri wa miaka, 25, ameingia katika mahusiano mazito na Naya Rivera, 26, ambaye hivi karibuni wawili hao walitangaza kuwa katika mahusiano. Big Sean alifunguka na kusema mahusiano yao yalianza kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, ambapo Nayer alikuwa kama fan wake lakini mwisho wa siku wakajikuta kwenye mahusiano mazito.
Congratulations to the happy couple!


0 comments: