Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, January 30, 2014

[Event] Carribean Experience

Carribean Experience - Friday 31st Jan and every last friday of the month.

Tuesday, January 21, 2014

MWANALIZOMBE STUDIOS Yafunguliwa Rasmi.

MWANALIZOMBE STUDIOS!! Ni studio inayomilikiwa na PROFESSOR Jay na imeanza kazi rasmi chini ya Producer Mwenye upeo mkubwa sana Anaitwa VILLY. ....Ipo Msasani mwisho karibu na CAPETOWN FISH MARKET, Wasiliana nasi kwa number +255757919192 na emails ni mwanalizombestudios@yahoo.com na mwanalizombestudios@gmail.com
KARIBUNI SANA.... WE BRING MORE FIRE!!!!

[New Music] Alicia Keys - Power


Sikiliza nyimbo mpya ya Alicia Keys - Power kupitia link hii http://viewhiphop.com/70249

Monday, January 20, 2014

Ribbery na Benzema mahakamani Paris

Wacheza soka wawili mashuhuri duniani, wamefikishwa mahakamani mjini Paris Ufaransa kwa kosa la kufanya ngono na kahaba aliyekuwa na umri mdogo.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 21 sasa hivi, alisema kwamba,Franck Ribery, mchezaji wa Bayern Munich , alimtumia kama zawadi wakati wa sherehe za siku yake ya kuzaliwa mwaka 2009.

Inaarifiwa Ribbery alimpilia msichana huyo tiketi ya ndege aweze kusafiri kutoka Ujerumani Kuja Ufaransa kumtumbuiza Ribbery wakati wa sherehe hizo.

Alisema kuwa pia alilipwa ili afanye ngono na Karim Benzema anayecheza soka yake na klabu ya, Real Madrid.

Kahaba huyo alisema kwamba, aliwaambia wawili, hao kuwa alikuwa mtu mzima wakati huo.

Benzema amekanusha madai ya msichana huyo.

Wachezaji hao wanaweza kufungwa jela miaka mitatu kila mmoja ikiwa watapatikana na hatia.

Msimamo Wa Ligi Ya Uingereza


Friday, January 17, 2014

New Mixtape: Ace Hood - Starvation 3


Sikiliza mixtape toka kwa Ace Hood -Starvation 3 kupitia link hii http://viewhiphop.com/70198

Saturday, January 11, 2014

New Music: Ace Hood - FYFR (Fuck Your Favorite Rapper)

Unaweza kusikiliza ngoma ya Ace Hood-FYFR kupitia link hii http://viewhiphop.com/69997

[Photo's] BEHIND THE SCENE YA VIDEO YA MABESTE FT MSECHU-NISHAURI



Kampuni Mpya M.ac04 Videoz Chini ya director Frank Temba & Julius Roman wapo kwenye hatua za mwisho wa umaliziaji wa video mpya ya msanii Mabeste akiwa na Peter msechu,video hiyo inakwenda kwa jina la Nishauri. Stay tuned for the video...






Friday, January 3, 2014

[New Music] T-Pain - 850

Sikiliza ngoma mpya toka kwa T-Pain - 850 kupitia link hii http://viewhiphop.com/69764

[Event] URBAN FRESH @Don Bosco Mbuyuni

Tikets zinapatikana kwa mtonyo wa buku 5, Models Collection- kinondoni studio, Born2shine- Mwenge near TRA, Shear illusion- Mlimani city Na Clouds media group – mikocheni!!

Thursday, January 2, 2014

[Event] KARAOKE PARTY @Mbalamwezi Beach Club

Karaoke..... tonite and every Thursday nite... entrance is Free....

Wednesday, January 1, 2014

PICHA JINSI LIONEL MESSI ALIVYOPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mwanasoka Lionel Messi  ni mmoja ya mastaa kibao ambao wameweka historia miezi chache iliyopita kwa kupanda mlima mrefu kuliko yote Afrika Mlima Kilimanjaro, safari hii ya Lionel Messi nchini Tanzania ilikuwa ni kwa ajili ya kufanya tangazo la Turkish Airline. Hii inaiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya ukuwaji wa utalii wa kupitia tangazo alilofanya kwenye mandhari nzuri  ya Mlima Kilimanjaro.

Hizi ndio picha za Messi alipotembelea Mlima Kilimanjaro..