Arsenal wamepokea habari mbaya kwamba majeruhi Bacary Sagna atakosa angalau wiki mbili ili kuuguza jeraha lake la nyama za paja.
Beki huyo wa kulia amekua nguzo na mchezo wake ni moja ya sababu Arsenal wanaongoza ligi na wanafanya vizuri katika mashindano ya Ulaya.
Alipata rabsha hiyo katika mchezo wa Champions League dhidi ya Napoli siku ya Jumanne usiku.
Na baada ya kufanya vipimo jana, imefahamika kwamba mlinzi huyo atakaso angalau wiki mbili.

0 comments:
Post a Comment