Hukumu hio itaanza kwenye mechi ijayo dhidi ya Udinese iliyopangwa tareh 19 Octoba. Pamoja na marufuku hio klabu imetozwa faini ya takriban dola za Marekani $68,000)....
Kwingine Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya Michezl Platini amesema kua mchezo huo unafaa kuongoza juhudi za kupambana na ubaguzi wa rangi katika michezo.
Kiongozi huyo aliyasema hayo kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa.
Mjumbe wa FIFA kutoka Afrika kusini Tokyo Sexwale amesema kwenye mkutano huo unaojadili ubaguzi wa rangi na mchezo wa mpira kwamba utandawazi wa vipimo vya ubaguzi wa rangi ni muhimu katika juhudi zake kupambana na ubaguzi wa rangi.
Mwanaharakati huyo wa ANC amesema kua FIFA ina mipango ya kuandaa mkutano wa kilele juu ya ubaguzi wa rangi kwa ushirikiano na Wkfu wa Mandela mapema mwaka ujao.''
FIFA litatoa maelezo zaidi kuhusu mpango wake wa kupambana na ubaguzi rangi kwenye mkutano wake huko Qatar mwezi Disemba.
0 comments:
Post a Comment