Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, October 23, 2013

Fuse ODG Awashinda Mafikizolo, Ice Prince Na Wengineo


Mkali wa miondoko ya Azonto kutoka Ghana Fuse ODG amefanikiwa kuwafunika wasanii wengine kutoka Africa katika tuzo za MOBO Awards 2013  katika category ya Best African Act. Ice Prince, Liquideep, Mafikizolo, Seun Kuti, Spoek Mathambo, Tiwa Savage, Atumpan, Bombino na Wizkid ndio wasanii ambao waliokua wakichuana na Fuse ODG katika category hiyo, Pia fuse ODG alikua akiwania tuzo ya  Best Video na Best Newcomer lakini tuzo hizo zilikwenda kwa Naughty Boy na Krept & Konan.

0 comments: