Mtoto wa rapper Mabeste, Kendrick ambaye ana miezi mitatu sasa, ataanza
kuonekana akitangaza maduka yanayouza bidhaa za watoto (pampers,diapers na n.k).
Mabeste
amesema tayari amemfungulia mwanae akaunti kwenye mitandao ya kijamii,Facebook page yake 'Kendrick Mabeste'
na pia kupitia blog hii ya www.mabestevenance.blogspot.com ambako huko ndiko atakuwa akipromote maduka hayo. "Soon kwanzia mwezi ujao tu anaweza
akaanza kupromote maduka hayo kupitia mitandao hiyo" alisema Mabeste.
Wednesday, October 30, 2013
Exclusive: Kendrick Mabeste kusaini ‘deal’ la kutangaza maduka yenye bidhaa za watoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Congrats for the deal men Kendrick.
Up coming rapper,safi sana.
Post a Comment