Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, December 31, 2013

Rapper Eve avalishwa pete ya uchumba



Rapper kutoka Philadelphia Eve ambaye ni First Lady Wa Ruff Ryders amevalishwa pete ya uchumba siku ya X Mass na boy Friend wake aliyekuwa naye toka mwaka 2011. Mwanaume huyo mwenye biashara tofauti Marekani anaitwa Maximillion Cooper amemvalisha pete Eve na kutangaza ndoa yao hivi karibuni.




Monday, December 30, 2013

Sunday, December 29, 2013

Friday, December 27, 2013

[Movies] CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY

CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY | NOW SHOWING:
(27 DEC 2013 – 02 JAN 2014)


[Event] The Grandest New Year's Party Ever @Mbalamwezi Beach


The Grandest New Year's Eve Party ever.... with our very own Fireworks after we see all the rest and the party continues with free mishkaki at 2am and free soup at 4am... Bonfire and first Sunrise of 2014... all this and more at the one and only Mbalamwezi Beach

New Music: Rick Ross ft Young Breed - My N!gga (Remix)

Sikiliza nyimbo mpya toka kwa Rick Rozay ft Young Breed - My N!gga (Remix) kupitia link hii http://viewhiphop.com/69523

[New Music] Chris Brown - Wildcat

Sikiliza ngoma mpya toka kwa Chris Brown - Wildcat kupitia link hii http://viewhiphop.com/69506

Mtanzania mwingine aliyekamatwa na Madawa ya kulevya nchini China


Jackie Cliff ambaye ni video queen wa Bongo mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao. Dawa hizo zilikutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na kufanyiwa X-ray ambapo alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.
 
"Mwanamke huyo alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita. Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko China.



"Pichani ni mwanamke huyo wa Kitanzania (akiwa amefunikwa uso) aliyekamatwa na kilo 1.1 za heroin huko Macau. Hapo amepigwa picha na vidonge vyake kwenye press conference huko Macau, Disemba 19, 2013."

Wednesday, December 25, 2013

Monday, December 23, 2013

Madam Rita;Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi

Chief Judge wa Epiq Bongo Star Search leo amepost ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Facebook..

 Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi....

Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu. Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.

"Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza"

[Cover] BAABKUBWA MAGAZINE COMING SOON


[Event] Grooveback 5th Anniversary Jmosi 28 Dec @ East 24 Bar & Grill


Ratiba Mechi ya Leo English Premier League, Jumatatu Dec 23.

England - Premier League
23:00 Arsenal vs Chelsea

[New Music] Justin Bieber ft Lil Wayne - Backpack

Unaweza sikiliza na kudownload nyimbo mpya ya J.Bieber Ft.Wayne-Backpack kupitia link hii http://viewhiphop.com/69384

Sunday, December 22, 2013

Friday, December 20, 2013

[Exclusive] DOLE ENTERTAINMENT


[EXCLUSIVE] Orodha ya Album 20 bora za mwaka 2013.


Jarida La Rolling Stone wametoa orodha ya album 20 bora za mwaka 2013, Kanye West na Drake wametajwa kuwa na album bora zaidi.
 
Hii ndo list nzima ya album 20 bora 2013;
1. Yeezus, Kanye West
2. Nothing Was The Same, Drake
3. Old, Danny Brown
4. The Marshall Mathers LP 2, Eminem
5. Acid Rap, Chance the Rapper
6. My Name Is My Name, Pusha T
7. Born Sinner, J. Cole
8. Doris, Earl Sweatshirt
9. Trap Lord, A$AP Ferg
10. Magna Carta Holy Grail, Jay Z
11. B.O.A.T.S. II: Me Time, 2 Chainz
12. Long.Live.A$AP, A$AP Rocky
13. The Luca Brasi Story, Kevin Gates
14. Run The Jewels, Run The Jewels
15. Wolf, Tyler, the Creator
16. I Am, Yo Gotti
17. The Night’s Gambit, Ka
18. Excuse My French, French Montana
19. Watching Movies With the Sound Off, Mac Miller
20. Self Made Vol. 3, Maybach Music Group

[Event] ICE BLACK MAGIC @ESCAPE

GONGA ENTERTAINMENT Presents.. ICE BLACK MAGIC @ESCAPE Today 20th Dec.

Coming Out Next Week.Vibe Magazine Third Edition.....