Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, October 28, 2013

Rapper Future Amchumbia Ciara


Msanii wa Hip Hop nchini Marekani maarufu kama Future ameamua kumchumbia mpenzi wake Ciara ambaye ni mkali wa miondoko ya R&B, Rapper huyo aliamua kumchumbia mpenzi wake huyo siku ya Birthday ya mwana dada huyo ambaye katimiza umri wa miaka 28 tarehe 25/10 . Wawili hao waliweka uhusiano wao  hadharani mwanzoni mwa mwaka huu ambapo rapper Future alisema kwamba waliamua kua katika mahusiano kwa sababu wanapenda kua pamoja na kuna mvutano mkubwa sana wa kimapenzi kila wanapokua pamoja.

0 comments: