Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, October 4, 2013

Photos: Cheki mjengo wa Davido


  Na hiki ndicho alichoandika baada ya ku-share picha hii..
Msanii wa Nigeria “Davido” ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa busy kwa kufanya show tofauti huko U.K, leo ame-share vipande tofauti vya picha za nyumba yake ambayo inakadiriwa kuwa na thamani zaidi ya Tsh billioni moja. Nchini Nigeria Davido yupo kwenye level za juu sana licha ya kuwa ni msanii ambaye hana miaka mingi kwenye game ya music



0 comments: