Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, October 23, 2013

Picha Ya Rihanna Yaleta Utata Msikitini

Mwana dada Rihanna hivi karibuni alilazimika kuondoka katika eneo la msikiti pale alipokua akipiga picha kaitka msikiti wa  Sheikh Zayed huko Abu Dhabi, mwana dada huyo alikua huko kwa ajili ya matembezi na kikazi za fashion lakini wakati akiwa eneo hilo la msikiti Rihanna aliombwa kuondoka katika eneo hilo haraka kwa kua eneo hilo la msikiti  hairuhusiwi kwa wageni kufanyia shughuli zao binafsi.

0 comments: