Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, October 18, 2013

[Photo's] Baadhi ya picha za kwenye video mpya ya Future anayo shiriki star Miley Cyrus


 
Future yupo mbioni kumaliza video yake mpya inayoitwa Real & True ambayo mpaka sasa imeanza kushika Headlines baada ya picha za video model wa video hio ambaye ni Miley Cyrus kuvuja kwenye mitandao. 

Miley Cyrus akionekana amepakwa rangi ya silver kwenye mwili wake wote akiwa mtupu na ndio mwongozaji wa video hio alitaka iwe hivyo.
 

0 comments: