BMS ya Gosby yaingia kwenye mixtape ya COAST2COAST ya nchini MAREKANI
Piga kura yako sasa kuchagua wimbo wa Gosby-BMS uingie kwenye kinyang'anyiro cha kuingia kwenye mixtape ya Coast2Coast Vol 251 nchini Marekani ambayo inaendeshwa na msanii wa Marekani,PLIES.
Bonyeza linki hii kupiga kura yako http://t.co/rfNAMtAalM
1 comments:
Safi sana Gosby,Mungu akutangulie!
wakilisha.
Post a Comment