Amber Rose akiwa na mume wake Wiz Khalifa, wamesherekea siku ya Amber ya kuzaliwa pamoja. Amber Rose amezaliwa siku moja na mchumba
wa x Boy Friend wake Kanye West ambaye ni Kim Kardishian, wote
wamezaliwa 21 October. Pamoja na kuwa na majukumu ya ziara za muziki Wiz
Khalifa ameweza kupata nafasi ya kuwa na baby mama wake kwenye birthday
yake.
0 comments:
Post a Comment