Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, October 30, 2013

Exclusive: Kendrick Mabeste kusaini ‘deal’ la kutangaza maduka yenye bidhaa za watoto

Mtoto wa rapper Mabeste, Kendrick ambaye ana miezi mitatu sasa, ataanza kuonekana akitangaza maduka yanayouza bidhaa za watoto (pampers,diapers na n.k).
Mabeste amesema tayari amemfungulia mwanae akaunti kwenye mitandao ya kijamii,Facebook page yake 'Kendrick Mabeste' na pia kupitia blog hii ya www.mabestevenance.blogspot.com ambako huko ndiko atakuwa akipromote maduka hayo. "Soon kwanzia mwezi ujao tu anaweza akaanza kupromote maduka hayo kupitia mitandao hiyo" alisema Mabeste.

2 comments:

Joseph Ommy said...

Congrats for the deal men Kendrick.

Justine Joseph said...

Up coming rapper,safi sana.