Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, October 30, 2013

Exclusive: Kendrick Mabeste kusaini ‘deal’ la kutangaza maduka yenye bidhaa za watoto

Mtoto wa rapper Mabeste, Kendrick ambaye ana miezi mitatu sasa, ataanza kuonekana akitangaza maduka yanayouza bidhaa za watoto (pampers,diapers na n.k).
Mabeste amesema tayari amemfungulia mwanae akaunti kwenye mitandao ya kijamii,Facebook page yake 'Kendrick Mabeste' na pia kupitia blog hii ya www.mabestevenance.blogspot.com ambako huko ndiko atakuwa akipromote maduka hayo. "Soon kwanzia mwezi ujao tu anaweza akaanza kupromote maduka hayo kupitia mitandao hiyo" alisema Mabeste.

Tuesday, October 29, 2013

[New Music] Eminem ft Rihanna - The Monster

Sikiliza na download kupitia linki hii http://viewhiphop.com/67583

Ratiba ya Capital One Cup leo (october 29)


[Photo's] Toleo jipya la 'Range Rover-Autobiography' yenye thamani zaidi ya mil 350,kuzinduliwa (November)







Daktari wa Michael Jackson kutoka jela

Taarifa ikufikie kwamba aliekua daktari wa mwimbaji staa wa Pop duniani Michael Jackson, Conrad Murray ameachiwa huru kutoka jela baada ya kutumikia kifungo kwa miaka miwili kati ya minne aliyokua amehukumiwa kutokana na kifo cha MJ mwaka 2009.
CNN wameripoti kwamba Daktari huyu ilibidi atumie mlango mwingine kutoka jela ili kukwepa waandishi wa habari pamoja na baadhi ya mashabiki wa Michael Jackson wenye hasira waliokuwemo nje ya jela baada ya kupata taarifa kwamba anatolewa kwenye jela hiyo ya Los Angeles.
Mwanasheria wake amekaririwa akisema kwamba Doctor Conrad anaweza kurudi kuendelea na kazi yake ya udaktari lakini moja kati ya kauli za familia ya Michael Jackson ni ‘ni wazi kwamba Conrad ndio alimuua Michael Jackson, tunamatumaini kwamba hatofanya udaktari tena na kumuumiza wengine’


[Photo's] BENZI YA MADAM RITHA ILIVYOTEKETEA KWA MOTO



Monday, October 28, 2013

Rapper Future Amchumbia Ciara


Msanii wa Hip Hop nchini Marekani maarufu kama Future ameamua kumchumbia mpenzi wake Ciara ambaye ni mkali wa miondoko ya R&B, Rapper huyo aliamua kumchumbia mpenzi wake huyo siku ya Birthday ya mwana dada huyo ambaye katimiza umri wa miaka 28 tarehe 25/10 . Wawili hao waliweka uhusiano wao  hadharani mwanzoni mwa mwaka huu ambapo rapper Future alisema kwamba waliamua kua katika mahusiano kwa sababu wanapenda kua pamoja na kuna mvutano mkubwa sana wa kimapenzi kila wanapokua pamoja.

HIZI NDO KAZI ZILIZOFANYWA NA DIR.NISHER KWA MWAKA HUU 2013.


[Photo's] Serengeti Fiesta @Leaders Club DSM



Alaine




Amini na Barnaba

 Linah na Amini

Cassim Mgamga

Christian Bella



Juma Nature



Recho na Ray C

Recho








Sunday, October 27, 2013

Wema Sepetu Afiwa Na Baba Yake Mzazi

 
Mwigizaji mahiri katika tansia ya filamu Tanzania ambae pia ni Director wa Endless Fame, Mwanadada Wema Sepetu amepatwa na msiba.
Wema amefiwa na Baba yake mzazi leo asubuhi kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu kidogo. Shughuli za msiba zitafanyikia Sinza, Dar -Es -Salaam karibu na Meeda nyumbani kwa mama yake mzazi Wema Sepetu.