Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, September 13, 2013

FIFA Imeiondoa Cape Verde Afrika Kwenye Kufuzu Kombe la Dunia.

FIFA imeiondoa Cape Verde kwenye orodha ya timu 10 za Afrika zinazowania kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil baada ya kumchezesha kimakosa beki mwenye adhabu,Fernando Varela kwenye mechi dhidi ya Tunisia.

0 comments: