Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, September 26, 2013

Black Rhyno apata mtoto wa kike

Black Rhyno, leo hii amepata kuongeza familia yake kutoka wawili mpaka kufikia watatu, baada ya mkewe kujifungua salama mtoto wa kike leo hii mida ya saa 7:30 mchana katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

 Alionyesha furaha aliyokuwa nayo kwa ku-share na mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa facebook.

"Mwenyezi mungu Amenibariki sana siku ya Leo kanipa zawadi kubwa mnoooooooo! MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KIKE saa 7 na nusu hospitali ya Taifa ya Muhimbili mama na mtoto wako fine.ASANTE MUNGU (THANX GOD FOR BLESSING MY WIFE WITH A BaBY GIRL ONE HOUR EARLY"

0 comments: