Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, September 16, 2013

IJUMAA hii ndani ya NYUMBANI LOUNGE


Alhamis hii ni siku ya kuzaliwa ya Dj Choka, mwaka huu atasherekea na nyie kwa pamoja siku ya Ijumaa pale kwenye kiota cha burudani NYUMBANI LOUNGE huku tukipata LIVE BAND kutoka MACHOZI BAND kwa hiyo itakuwa tarehe 20.9.13.
Ukiwa kama mdau rafiki au ndugu basi tutakata keki na tutaimba kwa pamoja

0 comments: