Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, September 26, 2013

Wasanii Wa HipHop Wanaolipwa Zaidi Marekani,P.Diddy Aongoza kwenye Orodha Hiyo Iliyotolewa na Forbes Magazine.


Checkout Top 23 hip hop cash kings:

1. Diddy ($50M)
Forbes wanasema p dd ameingiza pesa hizi kupitia mauzo ya kinywaji cha Ciroc vodka, Record lebel ya Bad Boy Entertainment, Sean John clothing line na biashara zingine.

2. Jay Z ($43M)
Jigga ameingiza pesa hizi kupitia matamasha ya lebel ya Roc Nation na kampuni anazo endesha.
3. Dr. Dre ($40M)
Dr Dre ameingiza pesa hizi kupitia headphones za Beats by Dre na record lebel yake ya After Math.

4. Nicki Minaj ($29M)
Ametengeneza pesa hizi kuptita mauzo ya album, American Idol na ubalozi wa vinywaji kama Pepsi.

5. Birdman ($21M)
Ametengeneza pesa hizo kupitia Record lebel mbili Cash Money na Young Money, Usimamizi wa wasanii kama Drake, Nicki Minaj na Lil Wayne, Na Vodka.

6. Kanye West ($20M)
Amepata hizi pesa kupitia Album yake mpya Yeezus na zingine zinazo endelea kuuza, Usimamizi wa wasanii kama Big Sean Kupitia Lebel yake ya Good Music, Matamasha yake na clothing line ya Donda West.

7. Lil Wayne ($16M)
Kundi la Young Money, Mziki wake, Credit Card zake na nguo za Trukfit ndio vinavyo mpa pesa nyingi Lil Wayne.

8. Wiz Khalifa ($14M)
Anatengeneza pesa kupitia Taylor Gang na Muziki wake, Nyimbo zake zimempa show nyingi sana na mauzo ya album.

9. Ludacris ($12M)
Filamu ya FF6, Mauzo ya Album, headphones za Soul by Ludacris, na kazi za utangazaji kwenye radio stations

10. Pitbull ($11M)
Album mpya imempa pesa nyingi, Analipwa sana pale nyimbo zake zinapo tumika kama Soundtrack kwenye filamu tofauti na ubalozi wa Kodak.

 
11. Drake ($10.5 M)
12. Snoop Lion ($10 M)
12. Eminem ($10 M)
13. Kendrick Lamar ($9 M)
14. Pharrell Williams ($9 M)
15. Macklemore & Ryan Lewis ($9 M)
16. Swizz Beatz ($8.5 M)
17. Tech N9ne ($7.5 M)
18. 50 Cent ($7 M)
19. Lil Jon ($6 M)
20. Rick Ross ($6 M)
21. Mac Miller ($6 M)
22. Young Jeezy ($6 M)
23. Questlove ($6 M)



0 comments: