Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, September 12, 2013

WAYNE ROONEY AREJEA MAZOEZINI MAN UNITED




Mshambuliaji wa Man United Wayne Rooney mwenye umri wa miaka 27, amerejea kambini Man United kuanza kufanya mazoezi kujiweka sawa kuelekea mchezo dhidi ya Pellegrini City, Uwanja wa Etihad, Septemba 22

Rooney  alikuwa akifanya mazoezi na Man United kwenye Uwanja wa mazoezi wa klabu, Carrington jana na pia anaonekana kuwa sawa kiafya baada ya kuumia kichwa alipogongana na Phil Jones kiasi cha wiki mbili zilizopita.




0 comments: