Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, December 11, 2013

Rapper The Game achora Tatoo kumuenzi Mzee Mandela


Msanii nguli wa hiphop The Game ameweka headline mpya baada ya kuamua kumuenzi  Mzee Mandela kwa kujichora Tatoo kubwa ikimuonyesha Hayati Nelson Mandela akiangalia nje ya gereza.
Rapper The Game pia alishea picha hiyo pamoja na maneno haya..
 “The finished ‘Nelson Mandela’ lookin out of the prison bars by @NikkoHurtado done on my side. 7 hour sitting…. Few more hours to tie in the tats around it & we solid,”.


0 comments: