Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, September 26, 2013

Happy Birthday Will Smith.

Leo ni siku ya kuzaliwa moja ya watumbuizaji maarufu sana duniani,Willard Christopher Jr Smith maarufu kama 'Will Smith' alizaliwa tarehe 25 Septemba 1968, katika kitongoji Magharibi Philadelphia. Alipewa jina la utani "Prince" kwa utu na ucheshi wake.

Smith ana watoto watatu. Willard Smith III, pia anajulikana kama Trey, kutoka ndoa yake ya kwanza, ambayo ilidumu miaka mitatu. Alifunga ndoa na mwigizaji Jada Pinkett Smith tangu mwaka 1997.
Watoto wa Smith, Jaden na Willow wameonekana kufwata nyayo za baba yao kwa kuwa watumbuizaji katika jamii.

Happy Birthday Will Smith!!

0 comments: