Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, September 18, 2013

Dogo Janja kushoot video ya "serebuka" Arusha


Msanii ambaye yupo chini ya Mtanashati Entertainment, Dogo Janja,anatarajia ku-shoot video ya wimbo wake mpya "Serebuka" jijini Arusha. "Nashootia Arusha na video itakuwa ya utofauti, itaonyesha uhalisia wa miziki ya uswahilini na watu wanavyo serebuka kingaleloo, naamini video yanguitakuwa simple halafu kali. Nawaza kufanya na Dx au Nisher maana ndio naanza connection nao, nikipata jibu la uhakika nitawaambia mashabiki wangu" alisema Dogo Janja!

0 comments: