Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, September 27, 2013

(Video) J.Martins ft. DJ Arafat – Touching Body

Tazama hapa: http://bit.ly/1bKsOUR

(New Audio); Meek Mill - Make Me


Click hapa kusikiliza; http://bit.ly/15YnTfs

(New Video); Rick Ross Ft Future – No Games


Click hapa; http://bit.ly/15YnTfs

THEO WALCOTT KURUDIA UPASUAJI OKTOBA 19

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema operesheni ya tumbo ya Theo Walcott imekwenda vizuri na anatarajiwa kurudi Uwanjani kucheza Mechi ya Ligi Kuu England hapo Oktoba 19.

Upasuaji huo uliyofanywa juzi Jumatano kwa mafanikio, Theo alianza kusikia maumivu ya tumbo wakati alipokuwa akifanya mzoezi mepesi ya kujiandaa kuanza mechi na Stoke City ya Ligi juma lililopita na kitu kilichopelekea kuondolewa katika kikosi cha ikabidi aondolewe kwenye orodha ya watakaoshiriki mchezo huo.

Kwa upasuaji huo Walcott atakosa michezo muhimu ya timu yake ya taifa ya England za Kundi H za Mchujo wa Kombe la dunia dhidi ya Poland na Montenegro dimbani Wembley zitakazochezwa Oktoba 11 na 15.

Winga huyo aliichezea England mechi zake mbili zilizopita za Kundi H za Mchujo wa Kombe la Dunia dhidi ya Moldova, ambayo walishinda 4-0 na sare ya 0-0 na Ukraine.

Thursday, September 26, 2013

Sikiliza kionjo hiki kidogo kutoka kwa JCB & Professor Jay "DRIVE SLOW"


Usikilize hapa  http://www.hulkshare.com/noizmekah/jcb-ft-prof-j-drive-slow-kionjo-snippet

Lady J Dee,Octopizzo,Fally Ipupa,M.I kuja na project kubwa ya pamoja.

Huu ndio ujumbe wa Octopizzo baada ya kushare picha katika mtandao wake wa instagram
"octopizzo With @jidejaydee Tanzania working on Africas Biggest Project coming to ur screens soon #ItsNambaNaneBaibY #SwagHili"

Black Rhyno apata mtoto wa kike

Black Rhyno, leo hii amepata kuongeza familia yake kutoka wawili mpaka kufikia watatu, baada ya mkewe kujifungua salama mtoto wa kike leo hii mida ya saa 7:30 mchana katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

 Alionyesha furaha aliyokuwa nayo kwa ku-share na mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa facebook.

"Mwenyezi mungu Amenibariki sana siku ya Leo kanipa zawadi kubwa mnoooooooo! MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KIKE saa 7 na nusu hospitali ya Taifa ya Muhimbili mama na mtoto wako fine.ASANTE MUNGU (THANX GOD FOR BLESSING MY WIFE WITH A BaBY GIRL ONE HOUR EARLY"

Wasanii Wa HipHop Wanaolipwa Zaidi Marekani,P.Diddy Aongoza kwenye Orodha Hiyo Iliyotolewa na Forbes Magazine.


Checkout Top 23 hip hop cash kings:

1. Diddy ($50M)
Forbes wanasema p dd ameingiza pesa hizi kupitia mauzo ya kinywaji cha Ciroc vodka, Record lebel ya Bad Boy Entertainment, Sean John clothing line na biashara zingine.

2. Jay Z ($43M)
Jigga ameingiza pesa hizi kupitia matamasha ya lebel ya Roc Nation na kampuni anazo endesha.
3. Dr. Dre ($40M)
Dr Dre ameingiza pesa hizi kupitia headphones za Beats by Dre na record lebel yake ya After Math.

4. Nicki Minaj ($29M)
Ametengeneza pesa hizi kuptita mauzo ya album, American Idol na ubalozi wa vinywaji kama Pepsi.

5. Birdman ($21M)
Ametengeneza pesa hizo kupitia Record lebel mbili Cash Money na Young Money, Usimamizi wa wasanii kama Drake, Nicki Minaj na Lil Wayne, Na Vodka.

6. Kanye West ($20M)
Amepata hizi pesa kupitia Album yake mpya Yeezus na zingine zinazo endelea kuuza, Usimamizi wa wasanii kama Big Sean Kupitia Lebel yake ya Good Music, Matamasha yake na clothing line ya Donda West.

7. Lil Wayne ($16M)
Kundi la Young Money, Mziki wake, Credit Card zake na nguo za Trukfit ndio vinavyo mpa pesa nyingi Lil Wayne.

8. Wiz Khalifa ($14M)
Anatengeneza pesa kupitia Taylor Gang na Muziki wake, Nyimbo zake zimempa show nyingi sana na mauzo ya album.

9. Ludacris ($12M)
Filamu ya FF6, Mauzo ya Album, headphones za Soul by Ludacris, na kazi za utangazaji kwenye radio stations

10. Pitbull ($11M)
Album mpya imempa pesa nyingi, Analipwa sana pale nyimbo zake zinapo tumika kama Soundtrack kwenye filamu tofauti na ubalozi wa Kodak.

 
11. Drake ($10.5 M)
12. Snoop Lion ($10 M)
12. Eminem ($10 M)
13. Kendrick Lamar ($9 M)
14. Pharrell Williams ($9 M)
15. Macklemore & Ryan Lewis ($9 M)
16. Swizz Beatz ($8.5 M)
17. Tech N9ne ($7.5 M)
18. 50 Cent ($7 M)
19. Lil Jon ($6 M)
20. Rick Ross ($6 M)
21. Mac Miller ($6 M)
22. Young Jeezy ($6 M)
23. Questlove ($6 M)



Video ya ‘Bila Kukunja Goti’ ya FA & AY yapitishwa kuoneshwa na vituo vya kimataifa Trace, Channel O, MTV Base..


Siku nyingine hatua nyingine...video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa kufikia viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound City...Yes,itaonekana kote huko...#AfrikaNzima...#GoingPlaces...#KeepingTheGoodMusicAlive

(Photo's); FULLMOON Party at Mbalamwezi Beach with Smirnoff in the Mixx!













Happy Birthday Mr.Clifford Harris (T.I.)

 

Happy Birthday Will Smith.

Leo ni siku ya kuzaliwa moja ya watumbuizaji maarufu sana duniani,Willard Christopher Jr Smith maarufu kama 'Will Smith' alizaliwa tarehe 25 Septemba 1968, katika kitongoji Magharibi Philadelphia. Alipewa jina la utani "Prince" kwa utu na ucheshi wake.

Smith ana watoto watatu. Willard Smith III, pia anajulikana kama Trey, kutoka ndoa yake ya kwanza, ambayo ilidumu miaka mitatu. Alifunga ndoa na mwigizaji Jada Pinkett Smith tangu mwaka 1997.
Watoto wa Smith, Jaden na Willow wameonekana kufwata nyayo za baba yao kwa kuwa watumbuizaji katika jamii.

Happy Birthday Will Smith!!

Tuesday, September 24, 2013

(PICHA) MSANII SULTAN KING ATEMBELEA CLUB YA WEST HAM UNITED U.K


Msanii wa music wa kizazi kipya TANZANIA anaendelea kuiwakilisha vyema ZANZIBAR, SULTAN KING, ambae kwa sasa yupo U.K kwa ajili ya show kadhaa pamoja na kuishughulikia familia yake ambayo inaishi uko kwa sasa,;
Hivi majuzi SULTAN alipata nafasi ya kuitembelea CLUB YA WEST HAM UNITED ambayo ipo nchini humo, lakini pia mpaka sasa hajafunguka zaidi kilicho mpeleka hapo na kuendelea kusema kua ni Suprise muda ukifika atajulisha Team House 255 pamoja na mashabiki wake,hapa hapa house 255,picha za kilichojiri pamoja na maelezo kwa njia ya suati:
Team House 255 tupo tunasubiria kwa hamu kujua:
 cheki hapa baadhi ya picha nyingine akiwa kwenye Jengo hilo:




SULTAN KING, MKE WAKE NA MWANAE.

(Story/Picha na house255.blogspot.com)

(Photo's) Red Carpet ya Miss Tanzania 2013

Red Carpet photos za kwenye Miss Tanzania iliyofanyika weekend iliyopita ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo Happiness Watimanywa aliibuka mshindi.

Faraja Kotta, Miss Tanzania 2004

Salha Israel, Miss Tanzania 2011

Jackie Cliff

Jocelyne Maro

Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lynn, Miss Tanzania 2000

Nasreem Karim, Miss Tanzania 2008











CPWAA Kudondosha CHEREKO CHEREKO Soon

Cpwaa anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Chereko Chereko' ambayo itatoka wiki ijayo.

 Na pia atatoa ngoma ya pili atakayoiachia mwakani, inaitwa 'Cross Borders Therapy' aliyowashirikisha rappers nguli wa Afrika Kusini, HHP na DBlack wa Ghana.

(Photo's) Yaliyojiri kwenye bday party ya DJ CHOKA pale NYUMBANI LOUNGE


Dj Choka akikata keki.

Wakwanza kulishwa keki alikuwa Lady Jay Dee.

Wa pili kula keki alikuwa mama mtoto wa Dj Choka, anaitwa mama Harrison



Wadogo wa  Dj Choka, Neema na Judy wakiwa na Mama Harrison 

Lady Jay Dee na Mama Harrison

Monica, Rachel Temu na Mama Harrison