Mshambuliaji wa Kiitaliano anayeichezea klabu ya Serie A ya AC Milan Mario Balotelli ameendelea kushikilia vichwa vya habari baada ya ku'share picha ya mtindo wake mpya wa kunyoa nywele.
Balotelli alipiga picha akiwa salon mara baada kumaliza kunyolewa mtindo mpya na kinyozi wake AMOS na kuanza ku'share kwa mashabiki wake mtindo mpya huo kupitia ukurasa wake wa Twitter huku akimsifia kinyozi wake AMOS kwa kazi nzuri aliyoifanya na kuandika ndiye kinyozi bora kwa upande wakekwa kuandika maneno haya kwenye tweet yake...
Wednesday, February 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment