Mwanamuziki wa mkali
toka Uganda Jose Chameleone hitmaker wa Valu Valu,Badilisha
na Tubonge ambaye kwa sasa yupo South Africa kwenye ziara yake ya
kimuziki,ameamua kuwa surprise mkewe ‘Daniela’ na watoto wake kwa kipekee kwa
kuchora tattoo mwilini mwake.
Jose
Chameleone alifunguka haya baada ya kujichora tattoo hizo..
”2014 we stand tall for the
ones we care for and those that love us back with their whole”
0 comments:
Post a Comment