Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, December 8, 2013

Mshindi Kwenye Fainali Za Tusker Project Fame Season 6.

Mshindi wa Tusker Project Fame Season 6 ni HOPE kutoka Burundi aliyelamba zawadi nono ya kitita Mil.5 za kenya,akiwa amewagaragaza washiriki wenzake ambao ni Hisia (Tanzania); Patrick (Rwanda); Wambura (Kenya); Daisy (Uganda) na Amos & Josh kutokea Kenya..

0 comments: