Rapper kutoka Philadelphia Eve
ambaye ni First Lady Wa Ruff Ryders amevalishwa pete ya uchumba siku ya X Mass
na boy Friend wake aliyekuwa naye toka mwaka 2011. Mwanaume huyo mwenye biashara
tofauti Marekani anaitwa Maximillion
Cooper amemvalisha pete Eve na kutangaza ndoa yao hivi karibuni.
Tuesday, December 31, 2013
Rapper Eve avalishwa pete ya uchumba
Monday, December 30, 2013
[New Music] Drake & Soulja Boy - We Made It (Remix)
Sikiliza remix ya "We Made It" toka kwa Drake Ft Soulja Boy kupitia link hii http://viewhiphop.com/69565
Sunday, December 29, 2013
[New Music] Nicki Minaj - Boss Ass Bitch (Remix)
Sikiliza remix ya Nicki Minaj - Boss Ass Bitch kupitia link hii http://viewhiphop.com/69626
[New Music] Drake - Trophies (Produced by Hit-Boy)
Sikiliza nyimbo mpya toka kwa Drake - Trophies kupitia link hii http://viewhiphop.com/69593
Friday, December 27, 2013
[Movies] CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY
[Event] The Grandest New Year's Party Ever @Mbalamwezi Beach
The Grandest New Year's Eve Party ever.... with our very own Fireworks after we see all the rest and the party continues with free mishkaki at 2am and free soup at 4am... Bonfire and first Sunrise of 2014... all this and more at the one and only Mbalamwezi Beach
New Music: Rick Ross ft Young Breed - My N!gga (Remix)
Sikiliza nyimbo mpya toka kwa Rick Rozay ft Young Breed - My N!gga (Remix) kupitia link hii http://viewhiphop.com/69523
Mtanzania mwingine aliyekamatwa na Madawa ya kulevya nchini China
Jackie
Cliff ambaye ni video queen wa Bongo mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo
1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao. Dawa hizo zilikutwa tumboni
mwake baada ya kushtukiwa na kufanyiwa X-ray ambapo alikutwa na jumla ya
vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.
"Mwanamke
huyo alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita.
Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la
Guangdong huko China.
"Pichani ni mwanamke huyo wa Kitanzania (akiwa amefunikwa uso) aliyekamatwa na kilo 1.1 za heroin huko Macau. Hapo amepigwa picha na vidonge vyake kwenye press conference huko Macau, Disemba 19, 2013."
Thursday, December 26, 2013
Wednesday, December 25, 2013
Tuesday, December 24, 2013
MABESTE BLOG WISHES YOU A MERRY XMAS!!!
Msimamo wa Barclays Premier League Leo Dec 24.
Monday, December 23, 2013
Madam Rita;Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi
Chief Judge wa Epiq Bongo Star Search leo amepost ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Facebook..
Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi....
Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu. Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.
"Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza"
Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu. Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.
"Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza"
[Cover] BAABKUBWA MAGAZINE COMING SOON
Ratiba Mechi ya Leo English Premier League, Jumatatu Dec 23.
[New Music] Justin Bieber ft Lil Wayne - Backpack
Sunday, December 22, 2013
CHECK OUT THE LATEST ISSUE OF VIBE MAGAZINE WEEKLY DIGEST
CHECK ME OUT ON THE LATEST ISSUE OF VIBE MAGAZINE WEEKLY DIGEST! download it. http://vibe.co.tz/download-weekly-digest-issue-6/
Friday, December 20, 2013
[EXCLUSIVE] Orodha ya Album 20 bora za mwaka 2013.
Jarida La Rolling Stone wametoa orodha ya album 20 bora za mwaka 2013, Kanye West na Drake wametajwa kuwa na album bora zaidi.
Hii ndo list nzima ya album 20 bora 2013;
1. Yeezus, Kanye West
2. Nothing Was The Same, Drake
3. Old, Danny Brown
4. The Marshall Mathers LP 2, Eminem
5. Acid Rap, Chance the Rapper
6. My Name Is My Name, Pusha T
7. Born Sinner, J. Cole
8. Doris, Earl Sweatshirt
9. Trap Lord, A$AP Ferg
10. Magna Carta Holy Grail, Jay Z
11. B.O.A.T.S. II: Me Time, 2 Chainz
12. Long.Live.A$AP, A$AP Rocky
13. The Luca Brasi Story, Kevin Gates
14. Run The Jewels, Run The Jewels
15. Wolf, Tyler, the Creator
16. I Am, Yo Gotti
17. The Night’s Gambit, Ka
18. Excuse My French, French Montana
19. Watching Movies With the Sound Off, Mac Miller
20. Self Made Vol. 3, Maybach Music Group
Thursday, December 19, 2013
[New Audio] Rick Ross ft. Jay Z - The Devil Is A Lie
Subscribe to:
Posts (Atom)