Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, November 21, 2013

[EXCLUSIVE] MABESTE SIKO TENA B'HITZ MUSIC GROUP

Rapper Mabeste afunguka kuhusiana issue inayoendelea kati yake na record label aliyokua akifanya nayo kazi B'hitz Music Group, Mabeste alifunguka kupitia ukurasa wake wa facebook "Mabeste Venance" kuwa amejitoa kwenye label hiyo na hii ndo sababu aliyoiandika kwenye acount yake..


"Tatizo ni maelewano ya kibiashara kati ya mimi na uwongozi wa B"hits na si vinginevyo.....!! Akuna mtu ambaye apendi kuona faida kwenye kazi yake...!! Na kwasababu music ni kazi ...Baaasi nimejaribu kutetea kazi yangu...!! Pamoja saana"

1 comments:

Justine Joseph said...

Daaah mzazi ndo umetoka bhits??? Bas Bhits kwisha habar yake.. your the best rapper ambaye ulikuwa unawakilsha vyema Bhits.. all the best jo.