Thursday, January 30, 2014
Tuesday, January 21, 2014
MWANALIZOMBE STUDIOS Yafunguliwa Rasmi.
MWANALIZOMBE STUDIOS!! Ni studio inayomilikiwa na PROFESSOR Jay na imeanza kazi rasmi chini ya Producer Mwenye upeo mkubwa sana Anaitwa VILLY. ....Ipo Msasani mwisho karibu na CAPETOWN FISH MARKET, Wasiliana nasi kwa number +255757919192 na emails ni mwanalizombestudios@yahoo.com na mwanalizombestudios@gmail.com
KARIBUNI SANA.... WE BRING MORE FIRE!!!!
KARIBUNI SANA.... WE BRING MORE FIRE!!!!
Monday, January 20, 2014
Ribbery na Benzema mahakamani Paris
Wacheza soka wawili mashuhuri duniani, wamefikishwa mahakamani
mjini Paris Ufaransa kwa kosa la kufanya ngono na kahaba aliyekuwa na umri
mdogo.
Msichana huyo mwenye umri wa miaka 21 sasa hivi, alisema kwamba,Franck Ribery, mchezaji wa Bayern Munich , alimtumia kama zawadi wakati wa sherehe za siku yake ya kuzaliwa mwaka 2009.
Inaarifiwa Ribbery alimpilia msichana huyo tiketi ya ndege aweze kusafiri kutoka Ujerumani Kuja Ufaransa kumtumbuiza Ribbery wakati wa sherehe hizo.
Alisema kuwa pia alilipwa ili afanye ngono na Karim Benzema anayecheza soka yake na klabu ya, Real Madrid.
Kahaba huyo alisema kwamba, aliwaambia wawili, hao kuwa alikuwa mtu mzima wakati huo.
Benzema amekanusha madai ya msichana huyo.
Wachezaji hao wanaweza kufungwa jela miaka mitatu kila mmoja ikiwa watapatikana na hatia.
Friday, January 17, 2014
New Mixtape: Ace Hood - Starvation 3
Saturday, January 11, 2014
New Music: Ace Hood - FYFR (Fuck Your Favorite Rapper)
[Photo's] BEHIND THE SCENE YA VIDEO YA MABESTE FT MSECHU-NISHAURI
Kampuni Mpya
M.ac04 Videoz Chini ya director Frank Temba & Julius Roman wapo kwenye
hatua za mwisho wa umaliziaji wa video mpya ya msanii Mabeste akiwa na Peter
msechu,video hiyo inakwenda kwa jina la Nishauri. Stay tuned for the video...
Monday, January 6, 2014
Top 10 ya ngoma kali za Hip Hop ndani week ya kwanza 2014
List nzima iko hapa..
1. 50 Cent - "This Is Murder Not Music"
2. Kendrick Lamar - "Sing That Shit (20syl Juicy Remix)"
3. Common - "War [Prod. No I.D.]"
4. YG f. Drake & Game - "Who Do You Love (Remix)"
5. Eminem - "Rap God" (Apple's Siri Cover)
6. Jay Z - Brings Child On Stage To Rap For Him
7. Drake - "Trophies (Prod. by Hit-Boy)"
8. Kendrick Lamar - "Kurupted"
9. Future f. Drake & Juicy J - "Shit (Remix) [Prod. by Mike WiLL Made-It]"
10. Eminem - "Acapella (Freestyle)"
2. Kendrick Lamar - "Sing That Shit (20syl Juicy Remix)"
3. Common - "War [Prod. No I.D.]"
4. YG f. Drake & Game - "Who Do You Love (Remix)"
5. Eminem - "Rap God" (Apple's Siri Cover)
6. Jay Z - Brings Child On Stage To Rap For Him
7. Drake - "Trophies (Prod. by Hit-Boy)"
8. Kendrick Lamar - "Kurupted"
9. Future f. Drake & Juicy J - "Shit (Remix) [Prod. by Mike WiLL Made-It]"
10. Eminem - "Acapella (Freestyle)"
Friday, January 3, 2014
[Event] URBAN FRESH @Don Bosco Mbuyuni
Tikets
zinapatikana kwa mtonyo wa buku 5, Models Collection- kinondoni studio, Born2shine- Mwenge near TRA, Shear illusion- Mlimani city Na Clouds media group –
mikocheni!!
Thursday, January 2, 2014
[Event] KARAOKE PARTY @Mbalamwezi Beach Club
Wednesday, January 1, 2014
PICHA JINSI LIONEL MESSI ALIVYOPANDA MLIMA KILIMANJARO
Mwanasoka Lionel Messi ni mmoja ya mastaa kibao ambao wameweka
historia miezi chache iliyopita kwa kupanda mlima mrefu kuliko yote Afrika
Mlima Kilimanjaro, safari hii ya Lionel Messi nchini Tanzania ilikuwa ni kwa
ajili ya kufanya tangazo la Turkish Airline. Hii inaiweka Tanzania katika
nafasi nzuri ya ukuwaji wa utalii wa kupitia tangazo alilofanya kwenye mandhari
nzuri ya Mlima Kilimanjaro.
Subscribe to:
Posts (Atom)