Mabeste akiwa hospitalini Massana mbezi beach
Mabeste baada ya kupokea taarifa kapata mtoto wa kiume
Mrs.Mabeste akiwa na mtoto wake hospitalini
Mtoto wa mabeste(KENDRICK).
Saturday, July 20, 2013
Friday, July 19, 2013
MABESTE AKIJIBU MASWALI YA FANS WAKE LIVE
Mabeste aki chat live na mashabiki wake kupitia page ya Edwin Tanzania,ambapo alikuwa anajibu maswali kutoka kwa fans wake..
Thursday, July 18, 2013
RAPPA MABESTE ANATARAJIA KUPATA MTOTO HIVI KARIBUNI
Hivi karibuni Msanii Mabeste Venance maarufu kama ‘MABESTE’ kutoka Bhits Music Group Tz alifunguka kuwa anatarajia kupata mtoto na kuwa baba, akihojiwa na mwandishi wetu aliendelea kufunguka na kumtaja mpenzi wake kuwa ni Lisa William. Lisa alishawahi kuwa video queen katika nyimbo ya Mabeste inayoitwa ‘Sirudi tena’.
HAPPY BIRTHDAY NELSON MANDELA (THE LEGENDARY)
Leo ni siku ya kuzaliwa shujaa wa Afrika na pia Rais wa kwanza wa Afrika Kusini mzee Nelson Mandela,ambaye kwa sasa afya yake bado si nzuri sana huko Afrika Kusini, tumuombea awe na afya njema shujaa wa Afrika.
Subscribe to:
Posts (Atom)