Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, January 1, 2014

PICHA JINSI LIONEL MESSI ALIVYOPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mwanasoka Lionel Messi  ni mmoja ya mastaa kibao ambao wameweka historia miezi chache iliyopita kwa kupanda mlima mrefu kuliko yote Afrika Mlima Kilimanjaro, safari hii ya Lionel Messi nchini Tanzania ilikuwa ni kwa ajili ya kufanya tangazo la Turkish Airline. Hii inaiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya ukuwaji wa utalii wa kupitia tangazo alilofanya kwenye mandhari nzuri  ya Mlima Kilimanjaro.

Hizi ndio picha za Messi alipotembelea Mlima Kilimanjaro..




0 comments: