Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, August 8, 2013

Lina Sanga Anatarajia Kuja Na Tv Show Yake.

Baada ya Lady Jay Dee,Irene Uwoya,Wema Sepetu,Rose Ndauka na wengineo kuja na vipindi vyao katika luninga,sasa ni zamu ya Lina Sanga. Anatarajia kuja na kipindi kipya kwenye luninga yako hivi karibuni kinachokwenda kwa jina la (3D). Lina alifunguka hayo kupitia page yake ya instagram kwa kupostpicha na status "#‎on‬ set..my new tv show{ comingsoon} 3D"

0 comments: